Nyumbani VIDEO: Kocha Bakari Shime afunguka kueleka AFCON U23 byMuungwana Blog 1 -11/19/2018 03:22:00 PM 0 Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa chini ya Miaka 23 'Ngorongoro Heroes', Bakari Shime amezungumzia mchezo wa timu hiyo dhidi ya Burundi hapo kesho kuelekea kufuzu michuano ya AFCON U 23 itakayofanyika nchini Misri mwakani. TAZAMA FULL VIDEO HAPA, PIA SUBSCRIBE Facebook Twitter