VIDEO: Yafahamu makaburi yaliyogeuzwa kuwa vitanda vya kufanyia mapenzi Dar


Eneo la maziko ya makaburi ya Maganga lililopo kata ya 14 Manispaa ya Temeke jijini Dar es salaam, liligeuka na kuwa kichaka cha uhalifu baada ya baadhi ya wakazi wa eneo hilo kugeuza kufanyia matumizi yaliyo kinyume na eneo hilo.  Ambapo walikua wakitumia kuvutia bangi, kuhifadhi silaha Huku wakiyatumia makaburi hayo kuwa kama vitanda vya kufanyia mapenzi na hivyo kuwalazimu baadhi ya waumini ya dini ya Kiislam kuungana na kuchangishana fedha na kujenga ukuta ambao umezunguka eneo hilo.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items