Nyumbani Basi la Mwendokasi Lawaka Moto Ubungo Dar byMuungwana Blog -12/25/2018 09:00:00 PM 0 Basi la Mwendokasi mchana wa leo limewaka moto katika Injini yake maeneo ya Ubungo, jijini Dar.. Kikosi cha Zimamoto kilifanikiwa kuzima moto na basi kupelekwa katika karakana. Hakuna abiria yoyote aliyepata madhara Facebook Twitter