Jux, Vanessa Mdee kuendelea na Tour yao 'In Love & Money' Burundi


Wasanii wa muziki Bongo, Vanessa Mdee wanatarajia kuendelea na ziara yao ya kimuziki 'In Love & Money' katika nchi ya Burundi.

Ni mara ya kwanza kwa wasanii hao kwa pamoja kufanya ziara nje ya nchi. Wanatarajia kufanya
tamasha lao Burundi March 3 mwaka huu.

Utakumbuka mwaka jana ndipo Vanessa na Jux walianza ziara hiyo ambapo walifanikiwa kutumbuiza kwenye mikoa ya Mwanza, Mtwara, Dodoma, Arusha na Dar es Salaam.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Ujuwe Ugonjwa wa Busha