Winga wa Manchester United ambaye pia hucheza nafasi ya beki wa kushoto Ashley Young, anategemea kuongeza mkataba wa mwaka mmoja klabuni hapo siku za karibuni.
Mchezaji huyo mwenye miaka 33 amekuwa na mazungumzo na Manchester United kwa muda na inaaminika mazungumzo yanaenda vizuri na yanakaribia kufikia makubaliano.
Manchester United pia imemuongezea mshambuliaji wake Anthony Martial miaka 5 kuendelea kusalia kwenye timu hiyo na pia ipo kwenye mazungumzo ya kumuongezea mkataba Marcus Rashford.