CHADEMA watuma salamu za pole kwa familia ya Ruge Mutahaba


Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) limetuma salamu za Pole kufuatia kifo cha Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group (CMG), Ruge Mutahaba kilichotokea siku ya jana.

Mpya zaidi Nzee zaidi