Picha:Tanzania yaingia makubaliano ya kuendeleza Kiswahili na Sudan kusini

 
Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako amekutana na Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Serikali ya Jamhuri ya Sudani Kusini, Mhe. Deng Deng Hoc Yai katika hafla ya kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika Sekta ya Elimu hususan katika lugha ya Kiswahili









Mpya zaidi Nzee zaidi