https://monetag.com/?ref_id=TTIb Picha: Basi la Abood lilivyoteketea moto | Muungwana BLOG

Picha: Basi la Abood lilivyoteketea moto


Basi la abiria, mali ya Kampuni ya Abood lenye namba za usajili T 877 DJP limeteketea kwa moto. Basi hilo ambalo linafanya safari zake kati ya  Dar es Salaam na Morogoro

Ajali hiyo ya moto imetokea eneo la Chalinze mkoani Pwani karibu na mzani wa Vigwaza, hadi sasa chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana.

Hakuna abiria yeyote aliyeripotiwa kuumia ingawa wengi wameonekana wakikimbia huku na kule kuokoa uhai wao. Endelea kuwa karibu na Muungwana Blog ili kupata habari zaidi kuhusiana na tukio hilo.