Taarifa kutoka SUMATRA kwa wamiliki wa Daladala Dar
byMuungwana Blog 3-
0
Taarifa kutoka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) kuhusu mabadiliko ya njia za daladala zinazotumia kituo cha Gerezani, mabadiliko yataanza rasmi February 9 mwaka huu.