Mkuu wa wilaya ya Arumeru mkoani Arusha Jerry Murro amefungia machinjio ya nyama ya Nguruwe maarufu kama kiti moto kwa kile alichodai kuwa yako katika makazi ya watu ile hali sheria hairuhusu kibali cha machinjio kwenye makaazi ya watu.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE