Mkuu wa Wilaya ya Meru, Jerry Muro ameagiza askari kuwachukulia hatua za kisheria madiwani wawii wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao inasemekana walipigana ndani ya ofisi za Mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru Mnamo Februari 04, mwaka huu Ambapo mpaka sasa Sababu za kupigana kwao bado hazijajulikana.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE
