VIDEO: "Tanzania haiwezi kuwa soko la vyombo vya nje, Nataka tuwe na mabilionea wa ukweli" - Rais Magufuli


Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa nchi yetiu haiwezi kuwa ni soko la vyombo vya nje kwa kuwa hawawezi kuzungumza matukio chanya katika nchi.   Rais amewataka watu kuangalia vyombo vya ndani ili viweze kuwa ndio muongozo wa maisha yote wa Watanzania.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi