Mbali ya tuhuma za unyanyasaji wa kingono kwa wavulana wadogo kumuandama Mfalme wa Pop imeripotiwa kuwa hatatolewa kwenye Rock & Hall of Fame, Sehemu ambayo inatambua na kuhifadhi kazi na historia za wasanii wenye ushawishi mkubwa, Maproduza na wengine wenye mchango mkubwa kwenye muziki huo.
.
TMZ wameripoti kuwa Rock & Hall of Fame imeamua kumuacha Michael Jackson kwasababu wanaamini tuhuma za nje ya kazi ya sanaa haziwezi kuathiri kazi za msanii.
Pia wamedai kuwa Mambo aliyoyafanya Michael Jackson kwenye muziki ni makubwa, hayawezi kufutwa tu.
