Picha: Wanachama wa CUF nchini Uingereza wahamia ACT Wazalendo
byMuungwana Blog 3-
0
Baadhi ya Watanzania waishio nchini Uingereza ambao walikuwa Wanachama wa Chama Cha Wananchi CUF, wamejiuzulu uwanachama wa CUF nakujiunga rasmi na Chama cha ACT Wazalendo.