Kocha wa timu ya taiafa ya DR Congo ya wanawake, ameonekana kushangazwa na wachezaji wa Twiga Stars kutokana na kuonekana kuwa na umri dogo lakini wamekuwa na vipaji vikubwa vya kucheza soka. Pia kocha huyo ameshindwa kutabiri kuwafunga Twiga Stars kwenye mchezo ujao wa marudiano April 10 ya mwaka huu nchini Congo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
