Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Abdallah Mtulia, ametembelea kwenye mto wa Msimbazi ambao umekuwa na madhara makubwa kwa wananchi wa eneo hilo ambapo mpaka sasa umeshabomoa nyumba saba za makazi ya watu. Mbunge huyo amefunguka kuwa kuna mradi ambao unasubiria idhini kutoka wizara ya fedha ambao ukikamilika utalifanya eneo hilo la bonde la mto msimbazi kutembelewa na watu wengi kwa ajili ya mapumziko.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
