VIDEO: Mchambuzi mahiri Abbas Pira afunguka mechi ya Simba na TP Mazembe/ Wanashinda tatu


Mchambuzi mahiri wa michezo Abbas Pira ambaye pia amewahi kucheza soka kwenye klabu ya vijana ya Chelsea ya Uingereza, amefunguka kuhusu mchezo wa robo fainali ya klabu bingwa Afrika  Jumamosi hii ya April 6 kati ya Simba na TP Mazembe ya DR Congo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items