Afrika Kusini wapongezwa na AU kwa kuimarisha Demokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu


Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AU), Moussa Faki Mahamat, amepongeza mafanikio ya Uchaguzi Mkuu wa Afrika Kusini uliofanyika Mei 8 mwaka huu.

Mwenyekiti wa AU hasa aliwashukuru watu wa Afrika Kusini ambao wameonyesha wajibu wao wa demokrasia, amani na utulivu, kulingana na taarifa ya AU iliyotolewa siku ya Jumanne.

Mahamat pia alipongeza Rais Cyril Ramaphosa kwa ushindi wa chama tawala cha African National Congress (ANC) katika ngazi za kitaifa na za mkoa pia.

Mpya zaidi Nzee zaidi