Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania latangaza kifo cha Askofu Mstaafu Mmole


Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania limetangaza kifo cha Mhashamu,Askofu Mstaafu wa Jimbo katoliki la Mtwara,Gabriel Mmole aliyefariki dunia siku ya jana, Mei 15 Saa 10 alfajiri.

Mpya zaidi Nzee zaidi