5/18/2019

Picha: Ujenzi wa daraja refu zaidi wakamilika


Daraja kubwa zaidi lililo juu ya Mto Yangtze limekamilika. Daraja la Mto Qingshan Yangtz,huko Wuhan katika mkoa wa Hubei nchini China lina urefu wa mita 7,548 na upana wa mita 48.