VIDEO: Sakata la biashara kufungwa Naibu waziri wa Fedha ajibu
byMuungwana Blog 1-
0
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr.Ashatu Kijaji ametolea ufafanuzi suala la baadhi ya Biashara kufungwa,kwa kusema kuwa biashara zilizofunguliwa ni nyingi kuliko zile zilizofungwa hivyo hali ya Biashara nchini bado iko imara.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE