.

6/13/2019

LIVE: Bajeti Kuu ya Serikali ikisomwa Bungeni Jijini Dodoma muda huu


Serikali kupitia Waziri wa Fedha na Mipangao, Dkt. Philip Mpango leo anawasilisha Bungeni Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2019/20.