Rais Magufuli ang'ara kwenye Jarida la Forbes Africa
byMuungwana Blog 3-
0
Jarida la FORBES AFRICA laeleza mafanikio ya Rais John Pombe Magufuli, lamtaja kuwa Rais mwanamageuzi, mleta maendeleo. Afanya mahojiano maalum kueleza safari ya mageuzi Tanzania.