VIDEO: Baba aliyemlawiti mwanawe, Mkuu wa Wilaya ya Rombo afunguka
byMuungwana Blog 2-
0
Mkuu wa wilaya ya Rombo Agnes Hokororo amesema kuwa tukio la baba kumbaka mwane wa kumzaa lilimfanya atoe machozi ambapo mpaka sasa hukumu ishatolewa huku akikiri kuwa vitendo vya ukatili katika wilaya hiyo bado vipo
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE