VIDEO: Kikwete ailipua Simba hadharani/ Kuhusu uwanja wa Bunju/ Viongozi wanaoibomoa Yanga


Rais mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, amehudhuria kwenye sherehe ya Yanga (Kubwa Kuliko) na kuweka wazi kuwa alitoa kiasi cha shilingi milioni 30 kwa Simba ili waweze kununua uwanja wao wa Bunju.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE