VIDEO: RASMI: Yanga yamsajili mshambuliaji hatari Zambia, kazi ndio imeanza
byMuungwana Blog 1-
0
Klabu ya soka ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Maybin Kalengo kutoka Zesco United ya Zambia. Kalengo amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE