VIDEO: RPC Kinondoni afichuri akanusha taarifa nyeti zilizo ripotiwa na gazeti la Jamhuri

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Musa Taibu leo Juni 13 amekanusha taarifa iliyoripotiwa na gazeti la Jamhuri June 11 - 17 mwaka huu lenye kichwa cha habari ''Polisi wamkoga JPM, Walamaba mali za wauza unga mchana kweupe, wanyofoa magari ya mapapa, wagoma kukabidhi kwa DCEA, wajitetea ila mmhh!!'' ambapo amesema taarifa hiyo sio sahihi na waliohusika kuandika habari hiyo watachukuliwa hatua za kisheria.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE