VIDEO: Waziri Mavunde aeleza ugumu alioupata kwenye kuchangisha Yanga/ Awapa njia muhimu


Naibu Waziri, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde, amefunguka ugumu ambao amekutana nao wakati wa kuchangisha fedha kutoka kwa mashabiki wa Yanga. Pia kiongozi huyo ametoa neno kwa viongozi wa timu hiyo kwa kuwataka wafanye mabadiliko ya katiba yao.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE