Loading...

7/18/2019

Daniel Sturridge afungiwa kucheza soka

Daniel Sturridge amepigwa faini ya kiasi cha £75,000 na kufungiwa kucheza mpira hadi Julai 31 baada ya kupatikana na hatia ya kuvunja sheria za FA kuhusu kamari kamari.

Sturridge amefungiwa kwa wiki sita, nne kati ya hizo zimeachwa hadi August 31, 2020, kwahyo atakuwa huru kucheza soka tena kuanzia July 31 ikiwa hatovunja sheria za FA.
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger