https://monetag.com/?ref_id=TTIb Leo ni Siku ya kuzaliwa Nelson Mandela | Muungwana BLOG

Leo ni Siku ya kuzaliwa Nelson Mandela

Julai  18, siku ya kuzaliwa Nelson Mandela na Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela
Ni miaka 101 imepita tangu kuzaliwa kwa kiongozi wa kihistoria na mwanaharakati wa  haki za binadamu Afrika Kusini Marekani Nelson Mandela.

Nelson Mandela  alibatizwa jina la kiongozi   na mwanaharakati wa haki za binadamu na maridhiano Afrika Kusini baada ya kufungwa  kwa zaidi ya miaka 20 nchini humo.

Nelson Mandela alifungwa na utawala wa kibaguzi wa Apartheid na baadae kuachwa huru.

Mandela uligombea kiti cha urais katika uchaguzi huru na kushinda kwa kishindo ambapo aliongoza taifa la Afrika kwa muhula mmoja.

Nelson Mandela alitajwa kuwa kiongozi asiekuwa wa kawaida kutokana na nyendo zake  nchini Afrika Kusini na katika mazungumzo ya kusuluhisha migogoro tofauti  ulimwenguni kwa busara.

Umoja wa Mataifa  ulitangaza  Julai 18 kuwa siku  kimataifa ya Nelson Mandela.

Mwaka  1993 Nelson Mandela alipewa tuzo ya Nobel ya amani kwa harakati zake za kupambana na ubaguzi wa rangi.