Simba Queens yatakata nchini Ujerumani

Klabu ya Simba Queens ikiwa nchini Ujerumani imeshiriki mashindano yaliyoandaliwa na wenyeji wao ambapo katika michezo nane ambayo imecheza, imeshinda michezo saba, sare moja, na imefunga jumla ya magoli 29.


Mpya zaidi Nzee zaidi