VIDEO: Rais Magufuli atajwa mfano Misingi 15 ya amani

Leo Julai 31 kumefanyika uzinduliwa kitabu cha ''Misingi 15 ya Amani'' ambapo moja ya misingi hiyo ni jamii kupewa elimu ya dini ili kuishi kwa hofu huku akitajwa Rais Magufuli kwa uadilifu wake wa kutaka vyombo vya sheria kutenda haki huku pia akichukua hatua palea ambapo wasimamizi wake wanalegalega.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Mpya zaidi Nzee zaidi