Abdallah shaibu Ninja kasajiliwa La Galaxy ya Marekani


Aliyekuwa mchezaji wa Yanga SC, Abdallah shaibu Ninja rasmi kasajiliwa na L a Galaxy
ya Marekani.

Amepelekwa La Galaxy kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea timu yake ya MFK Karvina inayoshiriki ligi daraja la tatu nchini Czech Republic.

Ninja ataungana na nyota wa kimataifa kutoka sweden Zlatan Ibrahimovic kama mchezaji mwenzake katika timu ya LA GALAXY.