BREAKING: Afisa Usalama wa Taifa feki anaswa Airport


Jeshi la polisi nchini kupitia kikosi chake cha viwanja vya ndege jijini Dar es Salaam limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili katika uwanja wa Mwl. JK Nyerere kwa makosa tofauti. Mmoja amekamatwa kwa kosa la kujifanya mtumishi wa usalama wa Taifa na mwingine aliyejipatia fedha kwa njia za udanganyifu.

SOMA TAARIFA HIYO ZAIDI HAPA CHINI