Beki wa Arsenal akubali kujiunga na klabu ya Bordeaux

Klabu ya Arsenal imethibitisha kuwa beki wake Laurent Koscielny, atajiunga na klabu ya Bordeaux ya Ufaransa.

Arsenal imekubali dau la £4.6m kutoka Bordeaux baada ya kocha Unai Emery kushindwa kumshawishi beki huyo kubakia klabuni hapo.
Mpya zaidi Nzee zaidi