VIDEO: Utapenda Haji Manara alivyowatangaza wachezaji wa Simba uwanja wa Taifa/ Ajib atoa neno


Msemaji wa Simba Haji Manara huwa haishiwi vituko kila kukicha, Jumanne hii ya August 6, 2019 ameiua shangwe kubwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakati wa kuwatambulisha wachezaji wao katika sherehe ya "Simba Day".

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi