Picha: Spika wa Bunge akutana na Balozi wa Rwanda nchini

Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Mhe. Eugene Kayihura alipomtembela leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Balozi huyo alimtembelea Spika Ndugai kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini Tanzania