![]() |
| Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi, Samwel Gunza, kuhakikisha maji yanatoka katika Kata ya Rutamba, mkoani Lindi, Agosti 23.2019 |
![]() |
| Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutibia wananchi wa Kata ya Rutamba, kwenye mkutano wa hadhara, akiwa mkoani Lindi katika ziara ya kikazi ya siku mbili, Agosti 23.2019 |
![]() |
| Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasalimia wananchi wa Kata ya Rutamba, akiwa mkoani Lindi katika ziara ya kikazi ya siku mbili, Agosti 23.2019 |


