Jeshi la Polisi kikosi cha viwanja vya ndege Tanzania limefanikiwa kumkamata Isikahaka Mihambo maarufu Mashavu (35) mkazi wa Segerea Buyuni ambaye ni mtuhumiwa sugu wa makosa ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kwa watu binafsi na makampuni yanayosafirisha mizigo kwa kutumia uwanja wa ndege wa Julius Nyerere (JNIA)
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE
