LIVE: Rais Magufuli na Rais Museveni washiriki kongamano la Wafanyabiashara Dar
byMuungwana Blog 5-
0
Rais Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni washiriki Kongamano la Biashara kati ya Wafanyabishara wa Tanzania na Uganda linalofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam.