Aliyekuwa mchezaji wa Yanga, Maka Edward amejiunga na klabu ya Athletico de Tetuan.
Timu hiyo inashiriki ligi kuu Nchini Morocco ambapo pia anacheza Mtanzania Simon Msuva aliyewahi kuichezea Yanga.
Maka amejiunga na timu hiyo kwa mkataba wa miaka minne.