PICHA: ZRB waandaa mdahalo kwa wanafunzi wa shule za Sekondari



Na Thabit Madai,Zanzibar.

Bodi ya Mapato Zanzibar ZRB wamendaa Mdahalo maalumu kwa wanafunzi wa shule za Sekondari Zanzibar kuhusu Kodi kiwa ni shamra shamra za kutimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwa bodi hiyo.

Mdahalo huo umefanyika katika ukumbi wa Chuo cha Taifa Zanzibar (SUZA) kampasi ya Vuga.





Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items