VIDEO: Kubenea aliamsha bungeni ''msilete sheria za kukomoana sisi wote ni Watanzania''


Mbunge wa Ubungo CHADEMA, Said Kubenea, ameitaka serikali kuleta  sheria bungeni zenye maslahi kwa wananchi, na sio sheria za kukomoana, na kusema sheria nyingi zina makosa na nyingi zinapingana na katiba,amebainisha sheria nyingi zinapitishwa kwa mbwembwe na baada ya mda mfupi zinarudishwa bungeni kufanyiwa marekebisho.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHU KUSUBSCRIBE