Loading...

9/13/2019

VIDEO: Mbunge Msukuma amkaanga Mkuu wa Mkoa bungeni


Mbunge wa Geita Vijijini, CCM, Joseph Msukuma, leo amesimama bunngeni na kuhoji nyaraka ambazo zipo kwa Mkuu wa Mkoa, zinazohusu malipo kwa halmashauri inayodai kwenye mgodi wa madini.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBCRIBE

Loading...