Loading...

9/11/2019

VIDEO: Tapeli wa leseni feki adakwa anatia huruma


Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt Maulid Madeni amemkamata Bwana  Hugo Zakaria ambaye alikuwa anatumika kukatia wafanyabiashara leseni feki ambazo ni kinyume cha sheria na mpaka sasa amemkabidhi mikononi mwa polisi

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU SUBSCRIBE

Loading...