Levante yaitandika bila huruma Barcelona

Klabu ya Levante imeishushia kipigo cha mabao 3-1 Barcelona katika mchezo wa La Liga uliochezwa kwenye Uwanja wa Ciudad de Valencia.

Mabao ya Levante yamefungwa na Jose Campana dakika ya 61, Borja Mayoral dakika ya 63 na Nemanja Radoja dakika ya 68, wakati la Barcelona limefungwa na Messi kwa penalti dakika ya 38
Mpya zaidi Nzee zaidi