Shirika la madini la Taifa linalo jihusisha na uchimbaji na utafiti STAMICO katika kijiji cha Mwabagimu kata ya Bikundi wilaya Meatu mkoa Simiyu likifanya utafiti wa mafuta na gesi katika eneo hilo limehakikishia Serikari kufanya utafiti huo kwa umakini kwa kutumia watafiti wa ndani
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAIU KU SUBSCRIBE
