Breaking News: Katibu Mkuu wizara ya mambo ya ndani ajiuzuru


Rais Magufuli amesema Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu amemuandikia barua ya kujiuzulu na amemkubalia

Rais ameyasema hayo akiwa anazindua Nyumba za Askari Magereza zilizopo Ukonga Jijini Dar