Burkina Faso: Watu 36 wauawa katika shambulizi

Watu  36 wauawa katika shambulizi lililoendeshwa na watu waliokuwa na silaha nchini Burkina Faso.

Watu waliokuwa na silaha wamevamia soko na kuwafyatulia risasi watu waliokuwepo  na kuwauawa watu 36 na kuwajeruhi wengine wengi.

Tukio hilo limetokea Kaskazini mwa Burkina Faso.
Mpya zaidi Nzee zaidi