VIDEO: ''Alichokifanya Morrison ni dhihaka hairuhusiwi'' Ally Mayai
byMuungwana Blog 2-
0
Mchezaji wa zamani wa Yanga SC ambaye kwa sasa ni mchambuzi soka nchini Ally Mayai Tembele amefunguka kuhusiana na uwezo wa mchazaji wa Yanga Bernard Morrison huku akisema kwa kitendo alichokifanya leo uwanjani ni dhihaka.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE